Usiku wa jana nilikua na kibarua kizito cha kuhakikisha Nakonga na Kufurahisaha nyoyo za Wafanyakaziwa CBA BANK na wageni waalikwa kwenye Party yaCBA BANK iliyofanyikaHyatt Regency zamani kama Kempinsk Hotel....Kiukweli nimshkuru sana Mwenyez Mungu kwa kuweza kunisimamia vyema na Kufanikisha zoezi hilo....Ntakua mchoyo wa Fadhira sana endapo kama nisipoushkuru Uongozi mzima wa Bank ya CBA kwa kuweza kunipa fulsa hiyo vilevile Kampuni ya SCANAD TANZANIA LTD bila kuisahau team yangu nzima ya WASAFI......! haya ndio yaliyojiri
|
No comments:
Post a Comment