Saturday, February 2, 2013

HAWA NDIO WASANII NILIOKUTANA NAO NILIPOKUWA ZAMBIA

Huyu anaitwa B1 ni mmoja ya wasanii wakubwa Zambia ninaye mkubali

Huyu ni B Flow naye pia

Huyu ni Tha Weed namkubali kipita maelezo bado chupu tufanye ngoma ya pamoja bila kumsahau B1.

No comments:

Post a Comment