Nipigie Simu sasa hivi nina bonge la Skendo kuhusu wewe.
Andika ujumbe huo kwenye sehemu ya kuandika sms,kisha acha nafasi kubwa kwenye sehemu hiyo hadi yasionekane maneno ya mwanzo.Halafu andika hivi
Jiunge na bwawa la wajinga.Watumie sms hii rafiki zako uone WEHU wangapi wasiosoma sms nzima.
No comments:
Post a Comment