Friday, October 4, 2013

UPCOMING ARTIST: ROJA

Ni msanii anayeimba yaani ni mwanamuziki toka studio za HISIA records kwa kazi yake ya kwanza iitwayo MAZOE. Baadhi na nyimbo nyingi anafanya hapo.

Embu pata muda wa kusikiliza hii track yake mpya MAZOE.

No comments:

Post a Comment