Monday, October 28, 2013

V.VALDES ALIVYOMTOLEA UVIVU RONALDO

Ni mechi ya Jumamosi iliyochezea ambayo Real Madrid ilifungwa 2-1.Golikipa Valdes alitoa mashuti ya Ronaldo na kukataa kabisa kufungwa na mchezaji kama ilivyoada kwa kipa huyo kufungwa na Ronaldo.

No comments:

Post a Comment