Thursday, June 19, 2014

Mmiliki wa toleo jipya la suruali ziitwazo SUKABU yaani Suruali Kaivalia Bukta azizungumzia rasmi UBORA,UPEKEE wake.


Mkurugezi mkuu wa suruali hizo bwana MORISON MOSSES azungumzia jinsi alivyotengeneza hizo suruali na kuzipa jina SUKABU. Pia zimepewa nembo isemayo SUKABU kama ilivyo herufi kubwa na chini yake maneno yasemayo Unique Trouser.

No comments:

Post a Comment