Tuesday, August 18, 2015

FOLA2015: Diamond Platnumz na Edward Lowasa hawa ndio watu mashuhuri wenye nguvu Tanzania kwa sasa.

Takwimu iliyotolewa na taasisi ya TaBoRe ama KIKUTA kimetoa taarifa kwamba watu wenye nguvu kwa sasa ni msanii Diamond Platnumz na mwanasiasa Edward Lowasa katika FOLA2015/2016.

No comments:

Post a Comment