Thursday, August 13, 2015

LOWASA NI SHIDA

Jeshi la polisi lamzui mh. E. Lowasa kwenda kwenye mazishi jana. Pia lilizui misafara ama maandano ya waliokuwa wakimsubiri Lowasa kwa ajili ya kumsindikiza kwenye mazishi hayo.

No comments:

Post a Comment