Ukataji wa umeme sehemu mbalimbali jijini Dar Es Salaam umekuwa kero kwa wafanyabiashara maeneo mbalimbali. Kila siku kuanzia saa 3:10 asubuhi muda wa kufungua biashara unakatwa umeme na kurudishwa saa 11:45 jioni muda wa kufunga biashara. Wafanyabiashara wengi wanakerwa na utaratibu huu mbovu licha ya kwamba KUVUJA KWA PAKACHA NAFUU KWA MCHUKUZI yaani kwa upande wa wauza majenereta sasa idadi ya uuzaji wao inaongezeka sasa.
No comments:
Post a Comment