Wednesday, October 7, 2015

Mmiliki wa MORISON BLOG, Morison na Pascal wakutana na Bosi RUGE wa Clouds media na Shafii Dauda kuzungumzia haya

Leo kwenye muda wa saa tano kasoro Morison na Pascal walikutana na Ruge na kumueleza kuhusu Miradi anayotaka kufanya pia alionana na Shafii Dauda. Jana alionana na mhusika wa ITV.

No comments:

Post a Comment