Sunday, October 18, 2015

Picha baadhi ya matukio viwanja vya Agha Khan MORISON akiwa na Mwanadada mashuhuri wa kuchezea mpira Tanzania na kocha wa taifa vijana.

Ile mipango ya mmiliki wa blog ya MORISON -MORISON MOSSES bado inaendelea. Leo alikuwa na mwanadada HADHARA CHARLES na Kocha mkuu wa timu ya taifa ya vijana Bw. SEBASTIAN MKOMA na watu wengine.

No comments:

Post a Comment