Pamoja na mkutano huo kupitisha ilani ya uchaguzi
ya chama hicho kwa mwaka 2015/2020, pia
utateua mgombea wake wa urais kwa upande wa
Tanzania bara na Zanzibar.
Kwa mara ya kwanza wajumbe wa CCM wanaingia
kumchagua mgombea rasmi ambapo mwaka huu
kuna idadi kubwa zaidi ya wagombea wa kiti hicho
katika historia ya chama hicho. Wadadisi
wanasema kuwa msisimko w akisiasa ndani ya
chama ndilo lililosababisha hamu kubwa miongoni
mwa wanachama kutaka kupata nafasi hiyo.
Watanzanania wanasubiri kusikia nani kati ya
wanachama 38 walio elezea nia yao, atachaguliwa
kushikili abendera ya chama hicho wakati wa
Uchaguzi baadaye mwaka huu.
Mbali na idadi hiyo, pia wadadisi wanasema kuwa
uelewa na ushiriki wa raia katika kuchangia hja
katiika siasa za nchi hiyo pia umeongezeka mara
dufu.
Wednesday, July 8, 2015
Nani atakaye mrithi Kikwete katika CCM?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment