Saturday, August 15, 2015

MPOKI AMLIZA KIKWETE NA WASHIRIKI WA KTS WAMVUNJA MBAVU.

Mchekeshaji mkongwe nchini MPOKI, jana na leo (usiku wa kuamkia leo) alikuwa MC wa KTS-Kinondoni Talent Search. Alitoa buruduni ya kazi yake ya uchekeshaji kwa wasikilizaji na waangaliaji. Ndipo Mhe. Raisi Jakaya Mrisho Kikwete alipofurahi sana kwa kazi hiyo hata kwa upande wa washiriki wa shindano hilo la vipaji kwa wale wachekeshaji. Mhe. raisi alicheka mpaka alitoa machozi.

No comments:

Post a Comment