Saturday, August 15, 2015

WIZI: MATAPELI WA MITANDAO WAJA NA HILI DILI LA UWEKEZAJI, NA HII NDIO NAMBA YAO YA SIMU +255 683 229 635 NA UJUMBE WA KWANZA WANAOUTUMA HUU HAPA.

Na hii ndio SMS yao wanayokutumia.
''+12062596616: I am harry from USA I have investment proposal as I plan to visit ur country to invest. for more details: [harry.johnson.investment@hotmail.com''.
Baada ya hiyo SMS ukiwae-mail wanakupa dili hili sasa.

No comments:

Post a Comment