Siku hii ilitangazwa rasmi na katibu mkuu wa Umoja wa mataifa kuwa ni siku ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana ambapo takwimu zinaonesha kwamba watu bilioni 1.8 duniani kote wana umri chini ya miaka 24 huku milioni 900 wasichana wadogo na wavulana wadogo.
WAnawake katika JItihada za KImaendeleo (WAJIKI). Mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo alizungumza kuhusu ukatili huo.
No comments:
Post a Comment