Sunday, November 29, 2015

PICHA: Mwanadada maarufu kwa kuchezea mpira wa miguu afanyiwa ukatili na shangazi yake.

Hadhara Charles ni maarufu kwa kuchezea mpira wa miguu nchini Tanzania. Huwa anapatikana kwa kazi yake kwenye mechi kubwa kama Simba na Yanga, timu za taifa zinapocheza na kwenye hafla mbalimbali bila kusahau kwenye kampeni za uchaguzi 2015 alikuwa akifanya kazi yake.

Morison Blog ilipata taarifa kutoka kwa baba mdogo wa Hadhara Charles na kusema kuwa Hadhara amepata ajali ya kuunguzwa na maji ya moto sehemu kubwa wa mwili wake na shangazi yake. Kwsa sasa, mwanadada huyo amelazwa hospital ya Mwananyamala.

Friday, November 27, 2015

MASHINDANO MAKUBWA YA KUSAKA VIPAJI NA UBINGWA WA KUCHEZEA MPIRA WA MIGUU "FREESTYLE FOOTBALL TALENT SEARCH & CHAMPIONSHIP" YAJA.

Haya ni mashindano yatakayoanza rasmi 2016 kwa mujibu wa Shirikisho jipya la Kuchezea Mpira wa miguu Tanzania "TANZANIA FREESTYLE FOOTBALL FEDERATION, habari kamili ilitolewa na Rais wa shirikisho bw. MORISON MOSSES na uongozi wake.

Monday, November 16, 2015

Shindano tarajiwa la Morison litaingia ubia na I-View studio

Studio maarufu kwa kazi ya uzalishaji video, picha na mabango ya matangazo n.k kama ya tigo (Joti), video za Diamond Platnumz n.k. Mkurugenzi wa studio hiyo alizungumza na Morison na uongozi wake kuhusu shindano na Raqey ambaye ni mkurugenzi ameafiki kufanyakazi hiyo ya video, picha na matangazo n.k.

Saturday, November 14, 2015

TAIFA STARS HOI KWA ALGERIA

Mechi iliyochezwa uwanja wa taifa leo jioni kati ya timu ya taifa ya TANZANIA dhidi ya ALGERIA wametoka sare ya kufungana 2-2.

TAIFA STARS HOI KWA ALGERIA

Mechi iliyochezwa uwanja wa taifa leo jioni kati ya timu ya taifa ya TANZANIA dhidi ya ALGERIA wametoka sare ya kufungana 2-2.

Wednesday, November 11, 2015

Meneja wa zamani wa Diamond Platnumz na uongozi wake I-View studio wakutana na Morison na uongozi wake TFFC/TF3 kujadili haya.

Aliyekuwa meneja wa zamani Raqey Mohamed na uongozi wake wakutana leo tarehe 11 maeneo ya DAR FREE MARKET kwenye ofisi za I-View studio zilipo kujadili namna gani watafanya kazi pamoja katika suala hilo la Mkurugenzi wa shindano bw. Morison Mosses na uongozi wake TFFC/TFFF.

Bofya hapa kupata HOTUBA YA MKURUGENZI WA SHINDANO, BW. MORISON MOSSES, WAKATI WALIPOKUTANA KWA MKUTANO NA I-VIEW STUDIO.

Monday, November 9, 2015

RAIS MAGUFULI NI MWENDO WA KUSTUKIZA TU, UKIWAAMBIA WATAJIPANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dk.John Pombe Magufuli leo amefanya ziara
nyingine ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa
Muhimbili kujionea hali ya utoaji huduma kwa
wagonjwa.
Akiwa hospitalini hapo, Rais Magufuli alipata
fursa ya kuongea na wagonjwa.
Awali Rais Magufuli alifika katika Hospitali ya
Agha Khan kumjulia hali Mkurugenzi wa Kituo
cha Sheria na Haki za Binadamu, Dk. Hellen Kijo
Bisimba anayepatiwa matibabu na vipimo katika
hospitali hiyo baada ya jana kupata ajali katika
makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi
jijini Dar es Salaam.

Tuesday, November 3, 2015

Picha: MAGUFULI AKIWA NA TB JOSHUA

Mh. Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania J.P MAGUFULI akimkaribisha Mtume na Nabii TB JOSHUA hapo jana.

MWINGIRA USO KWA USO NA TB JOSHUA

Mitume na Manabii J.E. MWINGIRA na TB JOSHUA wakutana kujadili jinsi gani ya kuiombea nchi yetu.

TB JOSHUA ATUA NCHINI LEO.

Nabii TB JOSHUA wa Nigeria amekuja nchini TANZANIA kwa mambo kadhaa kwa ajili ya nchi yetu kama vile kuiombea.

Friday, October 23, 2015

Sunday, October 18, 2015

Hii ndio harusi ya msanii wa zamani wa maigizo KILA

Huyu ni msanii wa zamani wa maigizo aitwaye KILA amefunga ndoa jana katika kanisa la St. Peter's Oysterbay na kufanyika Ukumbi uliopo pembeni uitwao CARDINAL .......

Picha baadhi ya matukio viwanja vya Agha Khan MORISON akiwa na Mwanadada mashuhuri wa kuchezea mpira Tanzania na kocha wa taifa vijana.

Ile mipango ya mmiliki wa blog ya MORISON -MORISON MOSSES bado inaendelea. Leo alikuwa na mwanadada HADHARA CHARLES na Kocha mkuu wa timu ya taifa ya vijana Bw. SEBASTIAN MKOMA na watu wengine.

Thursday, October 8, 2015

MASHINDANO YA NDEVU NA MASHARUBU YAANDALIWA

Australia yaandaa mashindano ya kimataifa ya
mitindo ya ndevu na masharubu kwa wanaume.
Mashindano ya ndevu na masharubu
Wanaume wenye utamaduni wa kufuga ndevu na
masharubu walijitokeza kushiriki mashindano ya
kimataifa nchini Australia.

Wednesday, October 7, 2015

Mmiliki wa MORISON BLOG, Morison na Pascal wakutana na Bosi RUGE wa Clouds media na Shafii Dauda kuzungumzia haya

Leo kwenye muda wa saa tano kasoro Morison na Pascal walikutana na Ruge na kumueleza kuhusu Miradi anayotaka kufanya pia alionana na Shafii Dauda. Jana alionana na mhusika wa ITV.

Saturday, September 26, 2015

Friday, September 25, 2015

EL CLASICO YA TANZANIA KUCHEZWA KESHO.

Mechi ya watani wa jadi SIMBA VS YANGA ni mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa timu hizo.

Thursday, September 24, 2015